Ni taasisi ya kuinua wanawake wenye mguso kwenye jamii, kusaidia mabinti waziishi ndoto zao, kupitia mafunzo mbalimbali ya kiuchumi, Afya, Uongozi na Kulinda haki za mtoto wa kike.
Jaza fomu ya uanachama ili ushiriki kikamilifu katika programu na matukio ya Lady's Shine.
Fungua FomuAll ladies realize their full potential in the community that respect people’s right.
To promote and protect their rights of young ladies and women in general.
Anasimamia mawasiliano, rekodi, na uhusiano wa umma wa shirika.
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi na msimamizi mkuu wa shughuli zote za Lady's Shine, .
Mtendaji Mkuu wa shughuli zote za Taasisi.